Na wale wa kawaida waliochujwa kwenye manyasi ni Tsh ngapi?
Waliokaushwa juani tu
Ndugu wana jamvi, nauza dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza debe elfu 55,000. mzigo utakufikia popote ulipo. ukihitaji karibu PM.
Sado bei gani? Na gharama za kusafirisha ni juu yako?
Na wale wa kawaida waliochujwa kwenye manyasi ni Tsh ngapi?
Waliokaushwa juani tu