Nauza CPU with 2TB HD


Ahsante kaka kwa kunisaidia Mungu akubariki maana mshkaji amenikomalia kwa vitu nisivyovijua,anyway very soon nitapost hizo details.
 

Kaka naona umenikomalia sana ok mshkaji amenielekeza pa kupata hizo details zinasomeka hv:
Intel(R)
Pentium(R) 4 CPU 3.00GHz
2.99GHz,0.99GB of RAM
 
Kaka naona umenikomalia sana ok mshkaji amenielekeza pa kupata hizo details zinasomeka hv:
Intel(R)
Pentium(R) 4 CPU 3.00GHz
2.99GHz,0.99GB of RAM

Basi umepata na somo hapo kwahiyo umepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Upande wangu Pentium 4 kwa bei hiyo utakuwa umenionea, watachukuwa wengine. Kila la heri.
 

Kama RAM aliweza kuijuwa uwezo, kama HDD aliweza kujuwa uwezo wake, basi hata processor alitakiwa aijuwe maana alianza kuorodhesha specs zake kwenye post yake na alipoulizwa processor alijibu 3.0, alipoulizwa aina ya machine akajibu HP, sasa kama hajuwi si aseme aelekezwe kuliko kutoa majibu ya uongo kila mara?.
 
hujazungumzia kitu mhimu katika cpu nacho ni processor, RAM na HDD ni mambo ya kawaida unaweza ku-upgrade muda wowote. sema processor yake ipoje.

kutoka kwenye picha aloattach
machine ni hp mini tower
processor ni pentium 4
speed ni 3.0Ghz
ram 1gb (kama alivyosema)
hdd: 2Tb
 
Basi umepata na somo hapo kwahiyo umepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Upande wangu Pentium 4 kwa bei hiyo utakuwa umenionea, watachukuwa wengine. Kila la heri.

Ok kaka lkn hujanitajia unaweza kununua kwa kiasi gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…