Nauza Computer Main Board defect Post Card mpya. Ni kifaa cha kielektroniki kinachowafaa zaidi mafundi wa Computer. Ukikichomeka kwenye Computer kinasoma na kukujulisha tatizo la Computer, hivyo kurahisisha ku-fix tatizo la computer tena kwa muda mfupi tu! Bei ni maelewano. Anayehitaji ani-pm then tutawasiliana!