Nauza Cofee table 150k

May 16, 2016
14
7
Cofee table, designer style, very good looking.
Nauza kwa 150,000 piga 0716935082

5863a28bbc1a0ed853058ed93f4938d0.jpg
1464171818113.jpg
1464171826672.jpg
1464171838982.jpg
1464171848032.jpg
1464171857592.jpg
 
kuna picha moja imekaa kama chura,
meza nzuri for future use.. watoto wangu wataifanya pool table
 
...kwangu siku ya tatu tu natupa skrepa, maana watoto wangu ...! hahahhahhaaaaa...?
Malezi yako yana harufu kubwa ya kuwadekeza au watoto wako hawasikii wakiambiwa.Nilinunua coffee table ya kioo kama hiyo tangu 2012,mpaka leo hakuna kreki wala nn, na nina watoto na ndugu wengine chini ya 18yrs.
Tuwafundishe taratibu tu kuwa "usichee hapa na ucheze pale".Mtoto umleavyo ndio akuavyo!!
 
Mimi sijaelewa unauzaje...??? Ni duka au umetumia kwako umeichoka now unaamua kuuza..??? Pia julisha Kama unazo nyingi au ni hio moja tu
 
Malezi yako yana harufu kubwa ya kuwadekeza au watoto wako hawasikii wakiambiwa.Nilinunua coffee table ya kioo kama hiyo tangu 2012,mpaka leo hakuna kreki wala nn, na nina watoto na ndugu wengine chini ya 18yrs.
Tuwafundishe taratibu tu kuwa "usichee hapa na ucheze pale".Mtoto umleavyo ndio akuavyo!!
Sio kweli kuwa anawadekeza inawezekana wewe pia kwa ustrict wako ndio unawaharibu watoto.
 
Bora watoto waharibike kama unavyodai kuliko kuacha waharibu vitu,siwezi ishi kama mbuzi kisa nina watoto wadogo,nyumba lazima iwe smart kwa kadiri iwezekanavyo!!
 
Bora watoto waharibike kama unavyodai kuliko kuacha waharibu vitu,siwezi ishi kama mbuzi kisa nina watoto wadogo,nyumba lazima iwe smart kwa kadiri iwezekanavyo!!
Mtoto wa miaka mitatu kwenda minne huwa anafanya anacho jiskia Hata ukimkataza ni sawa na bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom