Raphael Kiwovele
Member
- May 16, 2016
- 14
- 7
Cofee table, designer style, very good looking.
Nauza kwa 150,000 piga 0716935082
Nauza kwa 150,000 piga 0716935082
Naitaka ayseee, heb nitext hapa...0654776976Cofee table, designer style, very good looking.
Nauza kwa 150,000 piga 0716935082
View attachment 350830View attachment 350831View attachment 350832View attachment 350833View attachment 350834![]()
Utakuwa na malezi mazuri...kwangu siku ya tatu tu natupa skrepa, maana watoto wangu ...! hahahhahhaaaaa...?
Watoto wanaharibu kweli pozi la nyumbakuna picha moja imekaa kama chura,
meza nzuri for future use.. watoto wangu wataifanya pool table
Malezi yako yana harufu kubwa ya kuwadekeza au watoto wako hawasikii wakiambiwa.Nilinunua coffee table ya kioo kama hiyo tangu 2012,mpaka leo hakuna kreki wala nn, na nina watoto na ndugu wengine chini ya 18yrs....kwangu siku ya tatu tu natupa skrepa, maana watoto wangu ...! hahahhahhaaaaa...?
Wewe kama kwangu best,hukawii kukuta wamelala juu ya meza,halafu ikivunjika kila mtu hajui....kwangu siku ya tatu tu natupa skrepa, maana watoto wangu ...! hahahhahhaaaaa...?
Sio kweli kuwa anawadekeza inawezekana wewe pia kwa ustrict wako ndio unawaharibu watoto.Malezi yako yana harufu kubwa ya kuwadekeza au watoto wako hawasikii wakiambiwa.Nilinunua coffee table ya kioo kama hiyo tangu 2012,mpaka leo hakuna kreki wala nn, na nina watoto na ndugu wengine chini ya 18yrs.
Tuwafundishe taratibu tu kuwa "usichee hapa na ucheze pale".Mtoto umleavyo ndio akuavyo!!
Mtoto wa miaka mitatu kwenda minne huwa anafanya anacho jiskia Hata ukimkataza ni sawa na bureBora watoto waharibike kama unavyodai kuliko kuacha waharibu vitu,siwezi ishi kama mbuzi kisa nina watoto wadogo,nyumba lazima iwe smart kwa kadiri iwezekanavyo!!