Nauza code za m pesa TCU

Ridhy busy

Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
18
Reaction score
1
Waungwana nauza code ya M-pesa ya TCU kuna mdogo wangu alikua analipia chuo sasa akakosea akalipia kama form six levers kwa hiyo kama kuna mtu atakae kua anahitaji awasiliane na Mimi kupitia 0759098088
Ahsante.
 
Kuna demu kalipa tigo pega sijui atafanya je hizo code maana yuko dillema
 
Waungwana nauza code ya m pesa ya TCU kuna mdogo wangu alikua analipia chuo sasa akakosea akalipia kama form six levers kwa hiyo kama kuna mtu atakae kua anahitaji awasiliane na Mimi kupitia 0759098088
Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…