U UCHEBE Member Apr 10, 2014 9 0 May 25, 2014 #1 nauza tecno p3 ina wiki kama tatu hivi kwa mawasiliano zaidi piga cm 0716171698 au 0762480799
Sodium 23 JF-Expert Member Sep 17, 2013 471 484 May 25, 2014 #2 Bei gani? Uko wapi? Picha ni muhimu sana.
U UCHEBE Member Apr 10, 2014 9 0 May 25, 2014 Thread starter #3 nipo temeke dar es salaam na cm nauza 100000 taslim dukan 170000 ila kwa kuwa ninashida ndo nauza bei hiyo cm ni mpya tu
nipo temeke dar es salaam na cm nauza 100000 taslim dukan 170000 ila kwa kuwa ninashida ndo nauza bei hiyo cm ni mpya tu
F Fidelis k Member Sep 17, 2013 73 4 May 26, 2014 #4 Acha kudanganya wewe p5 wanauza 170,000 dukani mpya p3 130,000
zumbemkuu JF-Expert Member Sep 11, 2010 10,831 8,622 May 26, 2014 #5 Fidelis k said: Acha kudanganya wewe p5 wanauza 170,000 dukani mpya p3 130,000 Click to expand... P5 ni 180,000/= mpaka 200,000/= bei za mlimani city
Fidelis k said: Acha kudanganya wewe p5 wanauza 170,000 dukani mpya p3 130,000 Click to expand... P5 ni 180,000/= mpaka 200,000/= bei za mlimani city