Nauza chumba self container Arusha Makao Mpya

Nauza chumba self container Arusha Makao Mpya

Technohama

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Habari Wadau.
Nauza chumba kimoja chenye full tiles na choo ndani. Kodi ni 100000 kwa mwezi nmekilipia miezi mitatu hivyo nirudishie 200000/- ya miezi miwili, wa nane na tisa. Ukilinilipa wiki hii utaweza kuhamia na kukaa bure mwez huu mpaka utakapoanza mwez wako wa nane.Kitanda na godoro vyote utavikuta ukilipia, ni vya chumba. Atakayehitaji naomba anipm.
 
Kwanini umeamua kuuza chumba mkuu?

Labda ungetuelewesha kidogo.
 
Minashindwa kuhelewa MTU kam hunachakuchangia kaha kimya sio kumwalibia mtu tangazo lake
 
Unauza chumba kinakua cha mnunuzi chotechote?
Sema unauza/unahamisha mkataba wa Chumba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom