Nauza cherry tomatoes

Nauza cherry tomatoes

Muu12

Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
13
Reaction score
4
Mimi ni mkulima wa nyanya; niko mbio ni kuanza mavuno ya nyanya zangu. ni nyanya za kawaida pamoja na zile ndogo ndogo {cherry tomatoes} wengine wanaziita baby tomatoes. Nakaribisha mwenye uhitaji wa jumla na rejareja kwenye supermarkets na hoteli.
asante
 
mimi ni mkulima wa nyanya; niko mbio ni kuanza mavuno ya nyanya zangu. ni nyanya za kawaida pamoja na zile ndogo ndogo {cherry tomatoes} wengine wanaziita baby tomatoes. nakaribisha mwenye uhitaji wa jumla na rejareja kwenye supermarkets na hoteli.
asante
haujasema unapatikana wap,,,
 
napatikana kibaha kama utahitaji kufika shambani ila kwa supply nakuletea ulipo
 
Back
Top Bottom