Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Karibuni......likipita mtaan kwako usipate shaka kulisogelea na kupata huduma
kama kitu dry waambie waje pande hizi..lakini kama habari ya mixer mchungwa waambie watambae..sie hatuchanganyi bidhaa za kibabylon kwenye holy sacrament!!!
Kama Ni Ya Kutoka Longido Tafadhali Ni PM Ili Nikupe Maelekezo Kamili Ya Wapi Tukutane Ili Tuweze KULANDUKA Vizuri Tutoe Zetu Stress.
Yaan hilo likiwa Sanawari town nzima mshaanza kuckia kaharufu kwa mbaaaal.....so sogea karibu karibu
Mod yaani hi thread inaruhusiwa kutamba, au ninyi mnatumia? Haiwezekani kuadvocate madawa ya kulevya humu ndani