Nauza biashara yangu ya duka

Nauza biashara yangu ya duka

kitigiria

Senior Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
149
Reaction score
41
Nimebahatika kupata kazi serikalini na kituo changu kiko mkoani, so nimeamua kuuza biashara yangu ili nikafungue ingine huko niandako, tumia fursa hii kuwa mjasiriamali.
Maelezo:
duka la rejereja
Current Stock 3.5m
assets 1.8m frige,mizani, shelf, meza
Sales per day av.1.8k vocha mauzo elf 40
PLUS goodwil 2.5M ,location ni Mwananyamala TOTAL PRICE NI 7.8M
Njoo pm tuongee biashara
 
safi sana kijana.. nimependa graduate ulovyokuwa unapambana na maisha wakati unasubiri ajira.

kuna watu wana miaka mitano mtaani hawana mbele wala nyuma. kazi kushinda vijiweni kusubiria ajira.
 
safi sana kijana.. nimependa graduate ulovyokuwa unapambana na maisha wakati unasubiri ajira.

kuna watu wana miaka mitano mtaani hawana mbele wala nyuma. kazi kushinda vijiweni kusubiria ajira.[/QUOTE

Wewe huhitaji?asante
 
safi sana kijana.. nimependa graduate ulovyokuwa unapambana na maisha wakati unasubiri ajira.

kuna watu wana miaka mitano mtaani hawana mbele wala nyuma. kazi kushinda vijiweni kusubiria ajira.

tunamsubiri lowasa alete ajira we subiri utaona
 
Nimebahatika kupata kazi serikalini na kituo changu kiko mkoani, so nimeamua kuuza biashara yangu ili nikafungue ingine huko niandako, tumua fursa hii kuwa mjasiriamali.
Maelezo:
duka la rejereja
Current Stock 3.5m
assets 1.8m frige,mizani, shelf, meza
Sales per day av.1.8k vocha mauzo elf 40
PLUS goodwil 2.5M ,location ni mwananyamala TOTAL PRICE NI 7.8M
Njoo pm tuongee biashara

>Goodwill ya 2.5 mil umei-calculate vipi?
>Non current assets ukitoa fridge, nini kingine cha thamani kinachozidi laki 5?
>Vipi about premises? Umekodisha frem au kibanda?
 
>goodwill ya 2.5 mil umei-calculate vipi?
>non current assets ukitoa fridge, nini kingine cha thamani kinachozidi laki 5?
>vipi about premises? Umekodisha frem au kibanda?
jua unapofungua biashara mpya inachukua mda ku yakeoff, hii biashara ina miezi sita na inaendelea kukua na nimeshapata loyal customers, btw the deal has been concluded already.
 
Aisee waweza pia post hapa mpakasi.com kama unauza biashara waweza kupata mtu wa kununua
 
Back
Top Bottom