WEKA PICHA TUONE, ni Dodoma eneo/mtaa ganiHabarini wana j.f,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
thamani ya vitu vilivyomo inajumuisha viti viwili in good condition,kabati za pembeni 2 za aluminium, vioo vikubwa viwili vya vilivyokuwa framed na aluminium,sterilizer,shampoo chair complete, startimes kingamuzi,17 inch tv but condition sio kivile,bango lenye taa ndani 2 ft kama utataka na mwezi mmoja na nusu wa operation then miezi ifuatayo utalipia mwenyewe..eneo lipo fully completed na rangi mpya na panependeza kiukweli. kama una ndoto za kufungua barbershop ii nafasi ni yako.
eneo la niashara ni very marketable.
ni fursa kwa wakazi wa dodoma au kama unapenda operation za salon.
changamkia fursa.
mmiliki ni mimi mwenyewe.
je bei inapungua? ni PM au nicheki kwa namba 0655784688
Habarini wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Thamani ya vitu vilivyomo inajumuisha viti viwili in good condition, kabati za pembeni 2 za aluminium, vioo vikubwa viwili vya vilivyokuwa framed na aluminium,sterilizer,shampoo chair complete, startimes kingamuzi, 17 inch TV but condition sio kivile, bango lenye taa ndani 2 ft kama utataka na mwezi mmoja na nusu wa operation then miezi ifuatayo utalipia mwenyewe.
Eneo lipo fully completed na rangi mpya na panependeza kiukweli. kama una ndoto za kufungua barbershop ii nafasi ni yako.
Eneo la niashara ni very marketable.
ni fursa kwa wakazi wa Dodoma au kama unapenda operation za salon.
changamkia fursa.
Mmiliki ni mimi mwenyewe.
Je bei inapungua? ni PM au nicheki kwa namba 0655784688
nauzaaa..Unauza au unakodisha?
Laki sita si ni kwa viti tu.nna laki 6
kodi imelipiwa miezi mingapiHabarini wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Thamani ya vitu vilivyomo inajumuisha viti viwili in good condition, kabati za pembeni 2 za aluminium, vioo vikubwa viwili vya vilivyokuwa framed na aluminium,sterilizer,shampoo chair complete, startimes kingamuzi, 17 inch TV but condition sio kivile, bango lenye taa ndani 2 ft kama utataka na mwezi mmoja na nusu wa operation then miezi ifuatayo utalipia mwenyewe.
Eneo lipo fully completed na rangi mpya na panependeza kiukweli. kama una ndoto za kufungua barbershop ii nafasi ni yako.
Eneo la niashara ni very marketable.
ni fursa kwa wakazi wa Dodoma au kama unapenda operation za salon.
changamkia fursa.
Mmiliki ni mimi mwenyewe.
Je bei inapungua? ni PM au nicheki kwa namba 0655784688
fresh hamna shida..ila kwa bei iyo iyo,,alaf sitouza kimoja kimoja..Mkuu naweza kununua vifaa tu nikaenda kufanya biashara eneo lingine?
kodi imelipiwa miezi mingapi[/QUOTE
baada ya mwezi mmoja na nusu iyo ni free ila sio kuisha kwa kodi..kama utapenda eneo la biashara na najua mchukuaji atapenda sbb pako marketable,tutanegotiate kodi upya,,am the manager of the building..ambalo haitazidi laki..umeme free
ndio ivyo yan,dom watu wamelala badodu! ingekuwa bongo oooo fastaaaa tungeongea
ndio ivyo yan,dom watu wamelala bado
0655784688Nipm namba yako muuzaji
kodi 60 kwa mwezi..eneo lipo marketable, kwa mwenye kujua iyo sehemu ilipo atakwambia,,or njoo ufanye survey uone.mkuu kodi kiasi gani kwa mwezi?wastan wa mapato yako kwa wiki ama mwezi kiasi gani?