Haya tafutaneni mmalizane.Ni simu yako au ya wizi. Kama ni yako unashindwa nini kuweka details hapa. Jana tu kuna jamaa yangu kaporwa bbm 8525. Unapatikana wapi tukutane si kwa lengo la kununua ila ni kujiridhisha kama hiyo simu siyo ya jamaa yangu
Mtu mwenyewe keshakimbiaHaya tafutaneni mmalizane.
Ni pm bac.
Nije ili uniuzie bbm mkuu?Xaxa njoo 2fanye biashara au mfukoni ukame aka kiangazi.