Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

wabongo bana mtu anaweza akakosea kitu kidogo tu but nyie mnamek big deal.......labda ye ana maanisha blackberry mobile.......acheni ushenzi na kujifanya critics hapa
 
AHAHAAAAAHAAAA SEMA TU UMECHEMKA UKAANDIKA BBM....alikuwa hajui kuwa BBM ni software na sio hardware....kiruuuuu
 
AHAHAAAAAHAAAA SEMA TU UMECHEMKA UKAANDIKA BBM....alikuwa hajui kuwa BBM ni software na sio hardware....kiruuuuu

nashukuru kijana mmoja mwenye uelewa kashaichukua so man enjoy the bbm service.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom