Nauza bati

Nauza bati

kifaduro

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
220
Reaction score
192
Habari wana jf nauza bati rangi ya damu ya mzee migongo mipana zimebaki kwenye ujenzi napatikana mapinga b/ moyo idadi ni bati 20 gauge 28
karibuni.
 
Habari wana jf nauza bati rangi ya damu ya mzee migongo mipana zimebaki kwenye ujenzi napatikana mapinga b/ moyo idadi ni bati 20 gauge 28
karibuni.
Weka bei mkuu na namba ya simu!
 
Elfu ishirini? Migongo mipana? Gauge 28? Urefu wake je? Brand?

Ulinunua kwa wachina?
 
Nihitaji zenye kutu mkuu kama unazo tuwasiliane
 
Narudia tu kusema tena. Kifaduro.
 
Ooh Owkay umeshakuja.

Haya, nlikuwa nakwita wadau walikuwa wanakuuliza huko juu wanahitaji majibu ya maswali yao.

Thanks For Coming.
nauza bati mkuu piece 20 migongo mipana rangi damu ya babu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom