Nauza bata mzinga bata bukini na kanga

Nauza bata mzinga bata bukini na kanga

culboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
526
Reaction score
48
Pata bata mzinga kwa bei raisi wakubwa kwa watoto bata bukini pia nakanga_0757-662401
 
Tupia bei mkuu kitomari2 na uweke uwiano kama dume shs....jike....vifaranga...
 
Last edited by a moderator:
Pata bata mzinga kwa bei raisi wakubwa kwa watoto bata bukini pia nakanga_0757-662401

sema unataka upate marafiki wengi kwenye simu yako , au ndio mara ya kwanza kumiliki simu sasa unataka kuweka heshima kwa demu wako , tukupigie simu kuulizia bata wakati umelala ntakupigia saa 7 usiku vp ni poa , tangazo la biashara linatakiwa lijitosheleze
 
  • Thanks
Reactions: awp
unatoa huduma ya kuchinja kwa mteja atakaye nunua?. mia
 
mi bukini ila nipo dar sirias kwa kweli
nitawapataje?
 
Back
Top Bottom