Nauza barbershop yangu ipo mitaa ya Sinza,kutokana na kufanya kazi nnje ya dar usimamizi unakua mugumu ivyo kwa yoyote atakae itaji awasiliane na mimi kwa no 0653441748
Eneo nimepanga sema nauza vitu vyote vilivyopo ndani na mageti yote mawili na milango nimeweka mwenyewe ivyo nauza vitu vyote vilivyopondani na vyote nilivyo weka mimi maana nilichukua fremu na kuikarabati mwenyewe
Kodi yake inaisha mwezi wa nne ivyo tarehe 1 mwezi wa 5 inatakiwa kulipiwa,kodi 350000 ipo sinza makaburini,ukiweza kupata usimamizi kwa mwezi uwezi kosa 1.5,sema kwa sasa sina msimamizi ndio maana nataka kuiuza biashara ukiwa mbali inashida
Plan zangu kubwa ni kua na Barbershop mzuri ya kisasa iliyo sehemu mzuri ila nasikitika kua Bado najitahidi kuweka pesa Bank nifanikishe MALENGO, Ndo kwaanza nina M8.5,,!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.