Kinara Sagoye
Member
- Apr 11, 2018
- 8
- 0
Naishi Dar es salaam, kwa sasa najiandaa kuhamia Dodoma kikazi!Bajaji nayoiuza ipo katika ubora imetembea miezi saba tu, kama utahitaji nicheki kwa no hii 0714811185! Asante!!!
TVS na BAJAJ in vitu viwili tofauti sawa kusema Toyota aina ya NissanNaishi Dar es salaam, kwa sasa najiandaa kuhamia Dodoma kikazi!Bajaji nayoiuza ipo katika ubora imetembea miezi saba tu, kama utahitaji nicheki kwa no hii 0714811185! Asante!!!
![]()
![]()
![]()
5.5MWeka bei tujue kabisa
Weka bei tujue kabisa
5.5M call 0714811185 tuongee!
Bei ya Passo hiyo mkuu!5.5M call 0714811185 tuongee!
TVS Mpya 7.1 hii used inatakiws kuwa 3.55.5M
Naona kwa nyuma GX standard nyeupe. kweli wewe umehamishiwa Dodoma.. kila la heri
mkuu haina shida kabisa haya maneno yanakubalika katika jamii kwa umoja. Bajaji hasa zinaitwa scooter ila kwa kuwa bajaj ndio zilikuwa za mwanzo aina hii zote wa zigeneralize. Mfano pia mifuko ya rambo ama marlboro yanasimamia mifuko yote ya plastiki. Sheli/shell simamia vituo vyote vya petrol/mafuta. Kuna kipindi Honda ilisimamia pikipiki zote sasa hivi arusha pikipiki ni toyo. Pia nasikia kipindi cha nyuma simu za mikononi zilitwa mobitelTVS na BAJAJ in vitu viwili tofauti sawa kusema Toyota aina ya Nissan
mkuu haina shida kabisa haya maneno yanakubalika katika jamii kwa umoja. Bajaji hasa zinaitwa scooter ila kwa kuwa bajaj ndio zilikuwa za mwanzo aina hii zote wa zigeneralize. Mfano pia mifuko ya rambo ama marlboro yanasimamia mifuko yote ya plastiki. Sheli/shell simamia vituo vyote vya petrol/mafuta. Kuna kipindi Honda ilisimamia pikipiki zote sasa hivi arusha pikipiki ni toyo. Pia nasikia kipindi cha nyuma simu za mikononi zilitwa mobitel
sawaTVS Mpya 7.1 hii used inatakiws kuwa 3.5
kanunue hyo passo mkuu!Bei ya Passo hiyo mkuu!
Kama unahamia dodoma,Naishi Dar es salaam, kwa sasa najiandaa kuhamia Dodoma kikazi!Bajaji nayoiuza ipo katika ubora imetembea miezi saba tu, kama utahitaji nicheki kwa no hii 0714811185! Asante!!!
![]()
![]()
![]()