Malinda Jr
New Member
- May 30, 2017
- 4
- 5
Mdogo wangu aliyenifuata nilikuwa namkimbiza kwa hilo Gari kabla ya uji alikuwa anasota. Miaka ya 80z hukoIyo kitu ni zilipendwa [emoji1] [emoji1]
Unakumbuka wapi mkuu?
wala si zilipendwa tatizo la wanajf mnajitia wote matajiri wakati robotatu ya wanajf tupo vijiweni hatuna a wala bIyo kitu ni zilipendwa [emoji1] [emoji1]
Unakumbuka wapi mkuu?
Duuuh aisee mmetisha wapi iyo munaita "wooden baby Walker" Kwengwe?
Hata matajiri wanawanunulia watoto wao vigari hivyo.wala si zilipendwa tatizo la wanajf mnajitia wote matajiri wakati robotatu ya wanajf tupo vijiweni hatuna a wala b