Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Ili uweze kudraw ni lazima ufikishe dollar 100 mkuu, mimi nauza laki mbili nimepatwa dharura so nina shida na pesa.Kuna kitu sijaelewa mbona pesa iliyopo ndan ya account ni kubwa kuliko unayouzia? Au kuna limitation ya kiwango cha kufikia ili kudraw minimum?
Adsense ni product kutoka google inayotoa matangazo kwenye site mbalimbali kwa makubaliano na mwenye site kwa lengo la kupata chochote kitu baada ya watu kutembelea na kuclick hayo matangazo hapo ndipo wewe unapoingiza pesa, na utaruhusiwa kuchukua pesa yako tu pale utakapofikisha dollar 100 utatumiwa kila mwisho wa mwezi unaofuataMimi sijui chochote kuhusu hii kitu sasa nikinunua inakuaje maana ndani kuna kama elf 88 nami nakupa laki 2 narudishaje hela yangu naona elf 88 mpka lak 2 parefu..nipe shule kidogo ulimwengu wa teknolojia
Nitakupa vyote mkuu JAMBONIA 2 nicheki tu 0713268209unauza pamoja na website au blog au ni akaunti peke yake?
Mkuu nicheki tufanye biasharaunauza pamoja na website au blog au ni akaunti peke yake?
Mkuu kama unataka kununua, nimeweka namba yangu hapo nicheki kisha nitakupa link na utaiangalia ukiipenda tutafanya biasharaebu weka jina la blog yako hapa tucheki