Nauza AC split unit

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,812
2,000
Nauza AC split unit aina ya Sanyo bei ni laki nne na nusu tu. Halina tatizo lolote ni la kuchukua na kufunga tu.


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,812
2,000
ImageUploadedByJamiiForums1400809884.992994.jpg ImageUploadedByJamiiForums1400809922.152103.jpg


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,812
2,000
Unauza liko ukutani (kwa jirani????!!)

Ni kwangu mkuu nataka nilibadilishe ninunue dogo maana hilo ni kubwa na chumba changu ni kidogo so nikilifungulia nakaribia kuganda kwa baridi.


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom