Nauza 20 tons za vigae mbalimbali

Nauza 20 tons za vigae mbalimbali

conductor

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
838
Reaction score
715
Habari ya jioni waungwana. NINATAFUTA kampuni inayonunua vigae ..yaani chupa zilizopasuka,vioo vya milango n.k, nina tani kama 20 hivi, nilifanya biashara hii yakukusanya hivyo vigae bila kuwa na taharifa za kutosha wapi pa kuuza, japokuwa nilifahamu wanunuzi mojawapo ni KIOO LTD, sasa nimeenda ofisini kwao nikaambiwa niandike barua alafu nitajibiwa.

Imepita miezi 2 sijajibiwa. sasa naomba kuuliza kama kuna mtu mwe ufahaam zaidi soko la vigae lilipo na bei yake anijuze.

Niko mkoani Shinyanga.

Nitashukuru sana.
 
Dah, unaingia kwenye biashara bile kumjua mteja wako kaka! Subiri waje, huenda ukapata mteja kaka.
 
HABARI YA ASUBUHI WAUNGWANA,naulizia kama kuna mwenye taharifa wapi wananunua vigae vya chupa mbalimbali, madirisha na mlango anijuze, nina tani kama 20.sina pakuziuza, nilitegemea niwauzie KIOO LTD, ila tangu nimepeleka maombi hayo kwao sijajibiwa miezi miwili sasa imepita. niko mkoa wa shinyanga. nitashukuru kwa ushauri wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom