Nauz TV Smart 4K 49" bei ya kutupa

Nauz TV Smart 4K 49" bei ya kutupa

Hizo picha ulizoweka ni TV zilizo dukani, labda kama lengo lako ni kuonesha aina tu ya bidhaa ila sio halisi.... naona ziko nyingi hapo au sebleni kwako una TV mbili..?
 
Wakuu habari,
Kwa mwenye kuhitaji tv tajwa hapo juu Tv ni smart 4K brand LG 49" naiuza mambo yango hayo sawa nataka kusawazisha mambo hivo naamua kuiuza

Bei ni laki 9 na nusu(950,000) mzigo upo Mwanza. Mwenye kuhitaji tuwasiliane tumalize biashara mapema sana +255622723082View attachment 1340473View attachment 1340473View attachment 1340476
Key Features
  • ULTRA HD 4K Resolution
  • Smart TV with webOS
  • Ultra HD 4K Streaming
  • 4K Upscaler
  • IPS 4K Panel
  • Magic Remote Ready
UPDATE
BEI NIMEPUNGUZA KIDOGO WAKUU 850000 BADALA YA 950000 KWA WEEK HII TU
Sasa--bado ipo hiyo LG? nipo Arusha
 
Nunueni hiyo Tv acheni maneno mingi. Ila iwe na stand ya ukutani halafu tv iwe inafungwa kwenye stand sio kuchomekwa tu au kuvishshwa kwenye stand ya ukutani. Za kucbomekwa au kuvishwa tu zinaibiwa kirahisi sana.
 
Wakuu habari,
Kwa mwenye kuhitaji tv tajwa hapo juu Tv ni smart 4K brand LG 49" naiuza mambo yango hayo sawa nataka kusawazisha mambo hivo naamua kuiuza

Bei ni laki 9 na nusu(950,000) mzigo upo Mwanza. Mwenye kuhitaji tuwasiliane tumalize biashara mapema sana +255622723082View attachment 1340473View attachment 1340473View attachment 1340476
Key Features
  • ULTRA HD 4K Resolution
  • Smart TV with webOS
  • Ultra HD 4K Streaming
  • 4K Upscaler
  • IPS 4K Panel
  • Magic Remote Ready
UPDATE
BEI NIMEPUNGUZA KIDOGO WAKUU 850000 BADALA YA 950000 KWA WEEK HII TU
Niko GTA kama bado ina warrant nakuja Jmosi kuichukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom