EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 9,073
- 13,581
Wimbo wameimbia mshikaji na demu unapoanza anaanza kuimba dada anasema "ana stress siku mbili hajala" sina hakika kama nimepatia.
Ahsanteni
Ahsanteni
Sasa kwani mimi nimeachwa jamaa yangu mpaka niusikilize jamaa yanguKuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu!
Chukua huo pia ni mzuri mkuu.
Dah shanzam ndio nini tenajitahidi uwe na app ya shazam itakusaidia siku ukiusikia unaushazam chap unakua nao
mzee huna google kwenye simu yako? ukitaka kila kitu uelezwe unafunga uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ulipoona neno shazam moja kwa moja ungeingia google uulize ni nini alafu usome naelekezo sio kurudi kuuliza humu...... funguka akiliDah shanzam ndio nini tena
Ndio kitu gani hicho jamaaShazam ingekusaidia sana
kwa comment kama hizi nacheka mwenyewe kama mwehu😅Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu!
Chukua huo pia ni mzuri mkuu
Mwe,umenifokea kweli jamaamzee huna google kwenye simu yako? ukitaka kila kitu uelezwe unafunga uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ulipoona neno shazam moja kwa moja ungeingia google uulize ni nini alafu usome naelekezo sio kurudi kuuliza humu...... funguka akili
Kahuni hakokwa comment kama hizi nacheka mwenyewe kama mwehu😅
nimekutoa ujingaMwe,umenifokea kweli jamaa
Aiseenimekutoa ujinga
Mwe!Beat lake si lile la chakachaka para bwiii chwiii chwiiii tatah tah tah
Huo kaimba Harmo rapa
Ni.mpya huo wimboAu wa Alikiba na Lady JD, single girl/ singleboy
Ushaujua ee 😂Mwe!