Naungana na act-rasmi

Naungana na act-rasmi

Kadoone

Senior Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
184
Reaction score
157
Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa.
 
Wasalimie huko, hivi mnafika ata 5 nchi nzima kweli?
VIVA UKAWA!!!
 
Unaharibu tu kura yako njoo twende na lowassa tumeshamjadili
 
Sio lazima uwe mwanachama ww chama cha siasa. Lakini pia hata usipokua mwana chadema mume wako au boyfriend wakoatakuwwkilisha kwenye kumchagua Lowassa.
 
Naungana na act-kwasababu moja tu: Yaliyosemwa na cdm 2008 na kukataliwa na ccm, leo yanasemwa na ccm, na cdm wanayakataa.

wapigie simu waambie unataka kujiunga nao sasa sisi ukituambia tukusaidiaje shida zako hizo za kuhama hama
 
Utahangaika Sana Na Hicho Mnachoita Team Mawese
Lakini Mabadiliko Hayakwepeki
Oktoba 25 Karibu Ikulu Lowassa Akiwa Anahutubia Taifa
 
Nenda tuu hata TLP.wapo pouwa sana na sera zao zinaelewekaa
 
Back
Top Bottom