Aaamen barikiwa zaidi.. Na tukapande pando jipya lisilo na mawaa... Tuachane na pando la ubatili lililopita.. Mazao yake yalijaa mbigili na miba za visasi, mateso, majigambo, kejeli, ubabe, vitisho na Matokeo yake tukamwaga damu nyingi isiyo na hatia... Tukaungame na kutubu sasa tutaliponya taifaSina neno.Natumai umeniongozea sala ya toba.Nami naitika ..."AMEN"...[HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG]
Aaamen barikiwa zaidi... Haki huinua TAIFA... Tuliponye TAIFA kwa kuepusha kuilisha ardhi na kuyanywesha maji damu isiyo na hatia.. Damu ya waliopoteza uhai kwa matendo mabovu ya binadamu... Uumbaji uliopotezwa kwa chuki na visasi. .. Tuliponye TAIFA na laana hii...Aimen.
Nimefanya kitubio kwa matendo yangu yote yaliyomchukiza Mungu wangu... Matendo ambayo sikutenda kwa weledi... Matendo ambayo yaliunajisi uumbajiMKUU KAMA NA WEWE UMEWAHI KUROGA MTU YAN KUTUMIA VIBAYA TAALUMA UTUBU PIA.
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]