una uhakika na unachokinenaTurudishie Ben Saanane muuaji mkubwa wewe
Hata ya mwenyekiti wa CHADEMA iko wazi!Nachingwea halmashauri "iko" wazi. weka namba zako za simu
Umekasirika nini mbona wenzio wanaitwa WAPUMBAVU na wanashangilia!Kilaza ni wewe mwenyewe.
Hujui kuwa kuna rais kilaza?Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.
Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.
Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.
Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.
Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.
Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?
Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?
Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.
Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
Wanatafutwa "mbuzi wa kafara" katika "ziara kampeni" zinazoendelea ili kutafuta uhalali uchwara.Hiyo shida ya maji imeanza leo baada ya huyu mkurugenzi kuja? kama ilikuwepo miaka 25 nyuma hao waliokuwepo walifanya nini hadi huyu ambaye anaonyesha nia ya kufanya mradi angalau ndani ya mezi 6 aonekane bogus
Hivi yule Jeska mtoto wa jiwe si naye aliitwa ki-lazer! Sijui ameshabalika? Sorry nipo nje ya mada yako!
Hata yeye mwenyewe ni kilaza. Mbona alipowateua alitamba sana kuwa amekesha akisoma CV zao na wote anawajuwa utendaji wao.Kuna mambo tunalaumu bure ila hasira ya mkuu wa nchi kwa vijana na wasomi ambao ametuamini mpaka anasema tuvilaza ni kweli.
Nilikuwa pale na nimemsikiliza kwa makini kweli. Kitu kilicho mkwaza Mh Rais nikuwa na kundi la viongozi wasio reasoning hili linamkwaza Rais kiasi nadhani anatamani watafute mahakama yakuwafunga watu wasio na reasoning.
Mh Rais anaumia sana kiukweli kuona vijana tumesoma na tukawa Nadoktaila hatuna uwezo wakufanya mambo kwa uwezo watofauti. Mkuu aliumia kuona mtu aliye soma anasema kale kamradi ka tsh 300m kanataka kutumia miezi sita eti wanafanya upembuzi yakinifu huu ni ujinga huu ni ukilaza.
Nadhani Rais alitegemea kama mkurugenzi tena kijana angesema mkataba ulioletwa unasema miezi sita ila yeye kama mkurugenz ametoa memo kukataa kitu kama hicho. Alichokifanya mkurugenzi wa Manawasa akamjibu kwa namna aliona pia yeye nikilaza.
Majibu yake yalikuwa ya ukilaza. Yes yalikuwa ya ukilaza.
Labda niwaambie ndugu zangu kama taifa tupo kwenye shida kubwa tena tumshukuru huyu mkuu. Yani watu hawareason hawana njia nyingine kufanya kazi. Wanazoa njia ileile na mbaya wanataka hiyo njia wanaipita walindwe? Why?
Sisi nivilaza ndio maana hata pamoja na kazi nzuri ya huyu Rais bado kuponda hakishi sisi kwanini tusiwe vilaza?
Unajuwa leo ngoja niwaambie hata baada ya huyu Rais kuondoka Taifa hili tutasimama nakumwambia asante.
Angalia hata comment za hii mada utawajuwa vilaza na msipinge wewe kilaza.
Asante Mh Rais siogopi kuitwa kilaza naogopa baada ya kuitwa kilaza bado sibadiliki ukilaza wangu.
zama zimebadilika sana.
Kuhusu kuchezea nchi mbona yeye ndiye anaichezea sana kuliko hata hao mnaowaita wapige dili!! Ziko wapi Tsh 2.4 Trilioni? Kwa nini hataki CAG akague sekta ya madini? Kwa nini kahamishia ATCL kwenye Kasma ya Ikulu badala ya Kasma ya Uchukuzi na Mawasiliano?Hzi nchi zetu za kiafrika zinahitaji madikteta wa maendeleo ili tuweze kusonga mbele na kupiga hatua. Hizi mbwewe za democrasia za vyama vya siasa hata huko zilipoanzia zinaanza kuwashinda. Hata baba wa Taifa Mwl. Nyerere alikuwa na kaina fulani ka udikteta japo yeye alikaficha kidogo hako katabia hakukaweka wazi. Alikuwa ni dikteta wa maendeleo. Nchi zetu hizi za kiafrika kama ikipata rais ambaye si mkali na maslahi ya taifa, nchi itachezewa sana na kila siku tutakuwa tunasoma kwenye magazeti jinsi watu wanaofanya usifisadi uliotukuka. JPM SONGA MBELE USIJALI VILAZA WATAKUELEWA UKIWA UMESHAMALIZA KAZI YAKO NA UMEPUMZIKA.