Wakati umefika sasa wa serikali kusikia kilio cha walimu cha miaka nenda rudi. Nakubali kwa asilimia zote kwamba walimu nao wagome. Haiwezekani mwalimu wa degree alipwe sana na mwenye certificate katika kada zingine! Hapana enough is enough! Solidality forever.
Hakuna watu waoga kama waalimu. Hawataweza kugoma.
mwalimu wa juzi sio sawa na waleo, hebu fikilia ni walimu wangapi wameajiriwa miaka ya karibuni ambao ni vijana? kama CHADEMA imepata kuaminika na kusambaza fikra za kimapinduzi siku chache tu sembuse walimu? kwani walimu ni kina nani mpaka washindwe kubadilika kifikra? naamini walimu watagoma na matunda tutayaona. MUngu wabariki WALIMU watanzania.Walimu serikali ya CCM imeishawafanya ndondocha hawana kitu ni wasanii tu wameridhika na wanachopata kila siku tutagoma halafu ugomi sasa ni nini kama siyo usanii. Sina imani na walimu kwa sababu ndiyo wanailea serikali ya MAGAMBA. Big up madaktari huwa hawabeep
Walimu serikali ya CCM imeishawafanya ndondocha hawana kitu ni wasanii tu wameridhika na wanachopata kila siku tutagoma halafu ugomi sasa ni nini kama siyo usanii. Sina imani na walimu kwa sababu ndiyo wanailea serikali ya MAGAMBA. Big up madaktari huwa hawabeep
mkuu ndoto zako zitaisha asubuhi uatashangaa kumekucha na hakuna hata harufu ya mgomomimi ni mwalimu na nimejiandaa kugoma siogopi kutishiwa kufukuzwa kazi kwa kuwa nazijua haki zangu, ni kweli walimu wengi hasa wale wa msingi nyeti vyao ni vya kusadikika hasa wale wa miaka ya nyuma kidogo hao ndio wanaoweza kutuangusha lakini wale wengi wa sekondari naamini tutakuwa nao pamoja, mungu jalia hili lifanikiwe ili serikali ijue dharauo kwa watu wanaowakata kodi bila kelele soi nzuri
Hilo ni neno Mkuu hawana umoja kama madaktari, wana mibwabwajo mingi lakini ikija kwenye vitendo ni ZERO, ZILCH, SIFURI