Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,776
- 2,696
Wewe, unataka Lisuu,,fatuma na Sarungi wakumalize?Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi
Na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongozišš
Mara haki ya faragha,
Wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu
šš
Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? kama jibu hapana ,sasa
Tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili kuwajenga kisaikolojia
Lakini kuonesha anayewatoa kwenye madanguro kapora haki yao, hilo si sawa.
Tunajua madhambi yanafanyika, ila isiwe hadharani
Wale wako kando ya mashule, wanafunzi wanaulizana hawa wanafanya biashara gani?
Wako Kando ya makazi ya watoto wanaokota kondomu
Tutafakari
Chukua hatuaKuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi
Na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongozišš
Mara haki ya faragha,
Wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu
šš
Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? kama jibu hapana ,sasa
Tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili kuwajenga kisaikolojia
Lakini kuonesha anayewatoa kwenye madanguro kapora haki yao, hilo si sawa.
Tunajua madhambi yanafanyika, ila isiwe hadharani
Wale wako kando ya mashule, wanafunzi wanaulizana hawa wanafanya biashara gani?
Wako Kando ya makazi ya watoto wanaokota kondomu
Tutafakari
Wenye dada na mama zao makahaba hawawezi kukuelewa watakwambia uwaletee kifungu cha sheriaKuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongoziš. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu.
Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? Kama jibu hapana, sasa tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili kuwajenga kisaikolojia, lakini kuonesha anayewatoa kwenye madanguro kapora haki yao, hilo si sawa.
Tunajua madhambi yanafanyika, ila isiwe hadharani. Wale wako kando ya mashule, wanafunzi wanaulizana hawa wanafanya biashara gani? Wako Kando ya makazi ya watoto wanaokota kondomu.
Tutafakari.
====
Pia soma:
Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Anzisheni kwanza kampeni za kupambana na wala rushwa, wapigaji, na mafisadi kwa kuwarekodi na kamera huku mkiwa na magari ya polisi; muone kama hatutawaunga mkono.Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongoziš. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu.