Naunga mabando ya Vodacom unlimited popote ulipo

de solver

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
24
Reaction score
44
Habari wakuu naunga bando za Vodacom unlimited popote ulipo


VIGEZO
1. Pesa ya kifurushi chako
2. Laini ya Vodacom ya kuwezesha kifurushi
3.Namba ya mawasiliano ya Vodacom
4.Imei ya kifaa chako(Router)

Huduma hii nakuhudumia ukiwa popote
0765 991 551
 
Yani bado mpo kwenye 10Mbps kwa 70K?

Mnachekesha nyie!

Huku kwingine 70K tunapewa 25Mbps.

100K tunapata 40Mbps.
 
Kazi nzuri.naomba kuuliza kike cha 10Mbps 10 kwa 115,000 hakipo siku hizi.
Currently natumia cha 60k 10mbs lakini ni taka taka aisee kina load balaa.
Je hicho cha 70k uhakika?
Unatumia kifaa gani cha wifi
 
Niliingizwa king mpaka sasa naweza sema vodacom ni wezi! Hii ni baada ya kulipia kifurushi unlimited kwenye router yangu lakini mpaka kesho hakuna huduma na pesa yangu haijarudishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…