Pia na AHLY ya misri imechukua KOMBE la BINGWA AFRIKA....... Wameishinda ORLANDO 3-1... je utapona sasa ????????????Wana mmu habari za mchana mwenzenu naumwa toka ijumaa malaria kali imenikamata nimeanza kupata nafuu jana asante kwa man u kushinda na kanafuu kakaanza,nisiwachoshe sana niwatakie mchana mwema nina id ya siku 2 3 hivi
Wana mmu habari za mchana mwenzenu naumwa toka ijumaa malaria kali imenikamata nimeanza kupata nafuu jana asante kwa man u kushinda na kanafuu kakaanza,nisiwachoshe sana niwatakie mchana mwema nina id ya siku 2 3 hivi
kula sana, kunywa maji mengi, juisi ya matunda fresh! pia usisahau zoezi kwa wingi hasa jitahidi kubeba zege kama eneo lako kuna wajenzi!
Wana mmu habari za mchana mwenzenu naumwa toka ijumaa malaria kali imenikamata nimeanza kupata nafuu jana asante kwa man u kushinda na kanafuu kakaanza,nisiwachoshe sana niwatakie mchana mwema nina id ya siku 2 3 hivi
mh mkuu unataka nikafie huko nn zege noma