Naumwa sana kichwa upande wa kulia

rasta got soul

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
234
114
Habari wadau Naomba msaada wa ushauri kwa tatizo hili. Naumwa sana kichwa upande mmoja na huwa hata ninywe dawa gani ya pain killer hakiachi mpaka nilale kwa muda mrefu. Pia jicho la upande huo huwa linatoa machozi.

Naweza Kuwa na tatizo gani?
 
Habari wadau Naomba msaada wa ushauri kwa tatizo hili. Naumwa sana kichwa upande mmoja na huwa hata ninywe dawa gani ya pain killer hakiachi mpaka nilale kwa muda mrefu. Pia jicho la upande huo huwa linatoa machozi. Naweza Kuwa na tatizo gani?
Nenda kapime hospitali huenda unayo Maradhi ya Presha ya Macho kunywa maji ya Uvuguvgu kwa wingi , kula kipande 1 cha Tangawizi mbichi au kula punje 12 za Lozi aka (Amond) utaweza kupona Lala usingizi wa kutosha Maumivu yakizidi muone Daktari.

tumblr_n1jyc4kQ5Z1to0vxao1_1280.jpg
 
Attachments

  • Almond kwa kutibu maradhi ya kichwa.jpg
    Almond kwa kutibu maradhi ya kichwa.jpg
    33.5 KB · Views: 231
Habari wadau Naomba msaada wa ushauri kwa tatizo hili. Naumwa sana kichwa upande mmoja na huwa hata ninywe dawa gani ya pain killer hakiachi mpaka nilale kwa muda mrefu. Pia jicho la upande huo huwa linatoa machozi. Naweza Kuwa na tatizo gani?

Ni pm mi nilikuwa victim
 
Nenda kapime hospitali huenda unayo Maradhi ya Presha ya Macho kunywa maji ya Uvuguvgu kwa wingi , kula kipande 1 cha Tangawizi mbichi au kula punje 12 za Lozi aka (Amond) utaweza kupona Lala usingizi wa kutosha Maumivu yakizidi muone Daktari.

tumblr_n1jyc4kQ5Z1to0vxao1_1280.jpg

Mzizimkavu. Asante kwa ushauri hizo amond naweA kuzipata wap dar es salaam hii??
 
Back
Top Bottom