binti madam
Member
- Jul 1, 2017
- 32
- 10
Unamaanisha nini hapo?!kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena
Simu nikipiga hapokei anaweza akaibuka after 2 or 3 weeks then anasema im sorry nilikuwa na mambo mengi sanaUnamaanisha nini hapo?!
Ntarudi baadaye!!
Thanks ndio najaribu ila maumivu yake sio mchezoPole;
Achana na mapenzi kama yanakuumiza
Nitajijuaje kama kuna tatizo angesema then ningejirekebishasio wako mkuu, siku ukimpata wako wala hutakuwa na tatizo. kingine jichunguze na wewe isije ikawa wewe ndo chanzo cha tatizo
Pole sanaWanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo
Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla
Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu
Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale
Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
Very true nilimpenda sana cause the guy ana sifa 3 kuupole sana hizo ndio changamoto za mapenzi.. inachukua muda mrefu sana kumsahau, halafu inaonesha wewe umempenda kupita maelezo na yeye hajakupenda kihivyo..Cha kufanya vumilia na sahau mdogomdogo..(japo ni ngumu kwa kipindi hiki).. Acha kujipa tabu sana ya kumfikiria mtu ambaye hakuwazi kama unavyomuwaza
Ila haya masikitiko hayazidi maumivu ya majizi-CCM yalotufikisha hapa, kila mzalendo leo hii anaumia na matendo ya kikatili ya mijitu ya CCMInasikitisha kwa kweli, ndio maisha hayo sali maumivu yatapungua pole pole. Utafika kujiona siku moja na kujishangaa ma kucheka.
Dawa moja pata mtu akupe raha, itatoka hiyoooo na utaona kumbe hata hukumjua miaka yote hiyo ambayo hamkuwasiliana..
Utavuka daraja, kuwa na subira
Hatujaona badoUmempa tu akasepa? Hukumpa vizuri?
wakati mwingine utakuta amekuchoka tu, akipata stress alipo ndo anakukumbuka, ila inawezekana kuishi bila yeye, wanaume bado tuko wengi mkuuNitajijuaje kama kuna tatizo angesema then ningejirekebisha