Naumia

so ni bora angepata mean ya 60 ila awe wa kwanza? wonders shall never end
 
Pole sana... Ila dogo kajitahidi tena yupo vizur. Usimvunje moyo.
 
Aya bana wenyewe watoto wanaumia zao wenyewe.
 
Inaelekea wamefungana sana dogo max ziko poa kamwachia mwalimu 10 si mchezo
 
Aliyeona EXCELLENT zote, then kwenye majumuisho akapewa GOOD 🙂 , ajifanye kama anajikuna hivi, aone. Naungana na aliyeibua kimsemo cha Wonders shall never end. Au nasema uongo ndugu zangu!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…