EEH!.....Mimi ni mwanamke niliyeolewa na nina mwaka mmoja kwenye ndoa. Katika siku zote ninazoishi na Mume wangu ni siku chache sana nafurahia tendo la ndoa maana mara zote napata maumivu makali wakati wa tendo.
Sielewi kwamba hua tunakosea style au vp? maana naweza kukosa amani kabisa nikiwaza kukutana na Mume wangu, na pia sioni kama anashindwa kuniandaa vizuri maana mara zote nakubali maandalizi tunayofanya kabla ya tendo.
Naogopa kumkatalia mume wangu penzi maana anaweza toka nje halafu ikawa matatizo
Jamani kina mama, dada na wote, hebu niambie kama hii ni kawaida na nifanyeje ili kuondokana na hii hali.
Mhh kuna shangazi na wafundaji kibao siku hizi hata buku 5 utapata wa kukufunda... haya mwambie shemeji akuandae vya kutosha jmni au nanihii yake kubwa sna hahha haha hata ikiwa kubw aukiandaliwa vizuri huko maeneo yatakuwa tayari yamelainika kumpokea!
basi njoo kwangu mimi MJOMBA...Asante Maria Roza, ila naona aibu kwenda kwa shangazi na kumweleza haya ni mambo ya ndani sana, ukizingatia unaweza kumwambia yeye na dunia yote ikajua
Asante Maria Roza, ila naona aibu kwenda kwa shangazi na kumweleza haya ni mambo ya ndani sana, ukizingatia unaweza kumwambia yeye na dunia yote ikajua
Nashukuru kwa ushauri wako BAK
Unaweza niPM kwa ushauri sitaki mwaga mchele kwenye kuku wengi tena wa kienyeji. Kifupi hiyo hali inaitwa dyspareunia inategemea maumivu yako yakoje, kama ni kwa ndani unaweza kuwa na tatizo la kimaumbile ama ugonjwa. Unatakiwa ufurahie ngono. Kuna uwezekano kuwa na tatizo kwenye Cervix, Ovary (Cysts) uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (Endometriosis) kuna sababu nyingi za kitaalamu hata kama unatumia contraceptives kuna amabazo hukausha ule ute! PM for more....
I know my dia ila kuwa free kwa shemeji etu mwambie wapi ukishikwa unaitika achana na zile fikra potofu kuwa anaweza hisi wewe ni mwingi sn! kama ni mtumiaji wa kilevi pata walau glass 2 za wine na ingia uwanjani huku mkiwa mnaangalia zile sinema zetu ahhh utaona mabadiliko my dia:twitch::twitch:
Masa, nimeiweka hii hapa ili nisaidiwe na pia mtu mwenye tatizo kama langu afaidike pia.Naomba ushauri wako uuweke hapa tafadhali
Nenda hospitali ukaangaliwe labda una tatizo hasa ukitilia maanani kwamba umesema unaridhika na maandalizi yenu kabla ya kukuingilia.
BAK... huyu anaumwa aisee... it is very important aende kwa wataalamNenda hospitali ukaangaliwe labda una tatizo hasa ukitilia maanani kwamba umesema unaridhika na maandalizi yenu kabla ya kukuingilia.