Ningekushauri urudi chuo ukadai ada yako, ila sasa naona kazi unayofanya ya mboga mboga inaendana na fani yako ya Biology maana ni mambo ya viumbe hai (wanyama na mimea) wewe ume focus kwenye mimea sasa.
Kaka nimetafuta sehemu ya kufanya Kazi hata Bure lakini nimekosa. Private school wanalipa kwa tabu na kusumbuana tu. Ni heli ni zungushe mbogamboga kwa mwezi na uhakika wa ku earn 300k