Naumia sana na Njombe yangu

Naumia sana na Njombe yangu

njombe boy

Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Binafsi, nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima mpaka muda huu.

Nikiwa kama mzaliwa na mkazi wa mkoa wa Njombe katika jimbo la Njombe Kusini, nimeumia saana kuona chama cha mapinduzi (CCM) kikimpeleka mgombea ubunge kupitia chama hicho bwana Mwalongo bungeni wakati chini ya aliyekuwa mbunge kupitia chama hicho Bi Anne Makinda kutofanya jambo lolote la maana katika jimbo letu.

Nilitumai kijana mwenzetu Masonga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atuwakilishe wana wa Njombe Kusini bungeni.

2020 Tutajipanga Kimkakati kuuondoa utawala wa CCM katika jimbo la Njombe Kusini na kuivisha taji CHADEMA.
 
2020 utarudi hapa na post kama hii hii kwa sababu ni kawaida yenu kulalamika!! CCM sio size yenu
 
Kesho MUNGU akipenda nitakua Njombe, nitashinda hapo ila nitarudi kulala Makambako hapo Mid town. kama ratiba itaruhusu nitakutumia PM tuonane, usijali tuko pamoja na CCM watakubali tu
 
pa1 xaana, mi npo apa apa njombe
 
Binafsi, nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima mpaka muda huu.

Nikiwa kama mzaliwa na mkazi wa mkoa wa Njombe katika jimbo la Njombe Kusini, nimeumia saana kuona chama cha mapinduzi (CCM) kikimpeleka mgombea ubunge kupitia chama hicho bwana Mwalongo bungeni wakati chini ya aliyekuwa mbunge kupitia chama hicho Bi Anne Makinda kutofanya jambo lolote la maana katika jimbo letu.

Nilitumai kijana mwenzetu Masonga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atuwakilishe wana wa Njombe Kusini bungeni.

2020 Tutajipanga Kimkakati kuuondoa utawala wa CCM katika jimbo la Njombe Kusini na kuivisha taji CHADEMA.

Umeechelewa ndugu ndio wanazidii kuwa umiza tu ccm
 
kweli kaka, 2naimani na njombe ye2

"Njombe Yetu" ni neno zuri inategemea unatafsiri vipi. Njombe ni ya wana Njombe wote, wa vyama vyote, makabila yote, dini zote, rangi zote, matabaka yote. Ukiliangalia kwa malengo hivyo nitakuwa na wewe na ukiwa ni wa kudhani Njombe ni la wanaojiita makamanda peke yao utakwama. Vijana wa leo na kesho tutaijenga Njombe kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na sio kwa blah blah za kisiasa. kichaka hiki hakitatusaidia

Njombe itaendelezwa kwa kuzitambua na kuzitumia fulsa, Kutumia karama za viongozi wanaotuhamasisha katika uzalendo wa kufanya kazi, kujitolea na kuwajibika kwa yale yaliyo katika uwezo wetu. Sio kuwa viongozi wa Kudanganyana kuwa kila kitu kinaweza kufanywa na serikali hali sisi wenyewe tukibweteka na kuwaona ndio mashujaa wetu haitasaidia. Imewezekana Ludewa chini ya Marehemu Filikunjombe, tuombe Mungu tuwe na kiongozi mhamasishaji wa maendeleo kama yeye bila kujali anatokea chama gani.
 
Binafsi, nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima mpaka muda huu.

Nikiwa kama mzaliwa na mkazi wa mkoa wa Njombe katika jimbo la Njombe Kusini, nimeumia saana kuona chama cha mapinduzi (CCM) kikimpeleka mgombea ubunge kupitia chama hicho bwana Mwalongo bungeni wakati chini ya aliyekuwa mbunge kupitia chama hicho Bi Anne Makinda kutofanya jambo lolote la maana katika jimbo letu.

Nilitumai kijana mwenzetu Masonga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atuwakilishe wana wa Njombe Kusini bungeni.

2020 Tutajipanga Kimkakati kuuondoa utawala wa CCM katika jimbo la Njombe Kusini na kuivisha taji CHADEMA.

Mkuu huhitaji mpaka mwaka 2020 kufanya mabadiliko. Mkiwa mnapelekana na miaka hivyo CCM watafurahi kweli kwani watajua kwa kila miaka mitano wana kazi ya kuiba kura ya siku moja tu halafu mambo yanaisha! Wakati ni huu...
 
Kina kesi nyingi za wabunge endapo chaguzi zikirudiwa nauhakika majimbo mengi yatarudi ukawa
 
"Njombe Yetu" ni neno zuri inategemea unatafsiri vipi. Njombe ni ya wana Njombe wote, wa vyama vyote, makabila yote, dini zote, rangi zote, matabaka yote. Ukiliangalia kwa malengo hivyo nitakuwa na wewe na ukiwa ni wa kudhani Njombe ni la wanaojiita makamanda peke yao utakwama. Vijana wa leo na kesho tutaijenga Njombe kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na sio kwa blah blah za kisiasa. kichaka hiki hakitatusaidia

Njombe itaendelezwa kwa kuzitambua na kuzitumia fulsa, Kutumia karama za viongozi wanaotuhamasisha katika uzalendo wa kufanya kazi, kujitolea na kuwajibika kwa yale yaliyo katika uwezo wetu. Sio kuwa viongozi wa Kudanganyana kuwa kila kitu kinaweza kufanywa na serikali hali sisi wenyewe tukibweteka na kuwaona ndio mashujaa wetu haitasaidia. Imewezekana Ludewa chini ya Marehemu Filikunjombe, tuombe Mungu tuwe na kiongozi mhamasishaji wa maendeleo kama yeye bila kujali anatokea chama gani.

umeeleweka kaka, big up!
 
Mkuu huhitaji mpaka mwaka 2020 kufanya mabadiliko. Mkiwa mnapelekana na miaka hivyo CCM watafurahi kweli kwani watajua kwa kila miaka mitano wana kazi ya kuiba kura ya siku moja tu halafu mambo yanaisha! Wakati ni huu...

kweli aseee, sio mbaya 2meaanza na madiwani
 
Kina kesi nyingi za wabunge endapo chaguzi zikirudiwa nauhakika majimbo mengi yatarudi ukawa

kurudia uchaguzi hapa bara eti kisa uchaguzi umekuwa si wa haki kwa wabunge itakua ngumu saana, kwani hata hcho chombo kitakacho sikiliza hizo kesi kinaundwa na nani?
 
kurudia uchaguzi hapa bara eti kisa uchaguzi umekuwa si wa haki kwa wabunge itakua ngumu saana, kwani hata hcho chombo kitakacho sikiliza hizo kesi kinaundwa na nani?[

Lakini mwisho wa ubabe umekaribia ogopa umemkosea mtu alafu amenyamaza mara nyingi hata km amekusamehe lakini hasahau kamwe. Wasione ukimya wa Ukawa wakadhani wamemaliza kazi.
 
Jimbo letu tumefanikiwa kuondoa utawala wa ccm kuanzia madiwani mpaka mbunge wao na tunamiliki jimbo letu kihalali kabisa
 
Back
Top Bottom