Ukilaaniwa sio lazima utembee uchi
wakuu!!
leo naweka hadharani
Sijawai kuwa na msichana mkali yaan kitu mwakemwake (beyond the expectation)
Nimebaki nikila kwa macho na roho inaniuma maana watu (wanaume )wa kawa humiliki hawa bebies na mbaya hawana hata starlet.
Nawaza kuhamia Arusha nimeambiwa huko kuna watoto wakali na hawana nyodo kama wabongo.Think of mtu unamiliki Aunt Ezekiel ni raha na fahari kiasi gani?
Mimi ntahonga incase inalazimu akijisogeza mrembo mkali na sexy figure
Huna mwanamke mkali.foolish age mentallity
mtu anaweza kuwa na mwanamke mkali lakini ana share huyo mwanamke na watu kadhaa
au inam cost robotatu ya mshahara wake
au hivi au vile
sio kila king'aacho ni dhahabu
nikipata kisura chako sibanduki
Hv kwann kila kitu huwa unapinga maoni ya watu then una dharau sana puu....foolish age mentallity
mtu anaweza kuwa na mwanamke mkali lakini ana share huyo mwanamke na watu kadhaa
au inam cost robotatu ya mshahara wake
au hivi au vile
sio kila king'aacho ni dhahabu
Kwenye blue hapo mmh yaani huyo ndo Aunt Ezekiel ndo unamuona mkali eeeh!Wewe kweli mkerewe umezoe kucheza na samaki macho yako yamezoea samaki tu.Yaani Aunt Ezekiel..looooooooo.Kweli upo kisiwani Ukerewe.Tembea uone wewe mtoto wa Ukerewe...wakuu!!