Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
Habarini wadau wote. Ninataka kununua baadhi ya bidhaa online. naomba mnisaidie kunitajia websites za hapa Tanzania zinazouza vitu online. websites ninazozijua ni Kaymu, Kivuko, Jumia na Shopping TZ. je kuna websites zingine tukiacha hizi zinazouza pia vitu online. ningependa kujua websites mbalimbali ili niwe nina uchaguzi mkubwa wa vitu. nitaappreciate kwa michango yenu