chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,723
- 46,044
Wadau thread inajieleza deepfreezer inahitajika Mwanza kama unayo toa description zake kama mda iliyotumika ukubwa wake aina hali yake kwa sasa na bei ikiwezekana weka picture bila kusahau contact number.
Karibu.
Karibu.