Mamito sio wote wako hivyo na wala mm siko hivyo
nikiambiwa na wakubwa zangu wapangie kazi hao wenzako
huwaga nafanya hivyo tena kwa upendo na kutaniana
hapa na pale, lakini imenishangaza kwa hyu kwani
yeye wakati wa kazi yuko nje mara aseme naenda dukani
mara aseme nimepigiwa simu kuna mtu nje namcheki?
Mamito yaani visingizio kibao mpaka inafikia maudhi
bestito mm ni mtu muungwana sana kama ukiwa nami
muulize asprin, bujibuji, mentor na passionlady watakwambia
hivyo huwaga niko peace & love kwa wenzangu wote kwani
tunajua tunachokifanya hapa kwetu,
sijajua huyu mwenzetu kwani hata leo yenyewe ndo anaingia
sasa hivi job anacheza na kazi wakati wenzake wako nje
hawana kazi. Ipo siku atajifunza na kuthamini kazi.
@BUJIBUJI ni wa kike au ni wa kiume?
Je yeye angekua wa juu yako ungefurahi kupangiwa kazi
Ni bora nikusamehe 7x70 kwani watu kama nyie mpo
Je yeye angekua wa juu yako ungefurahi kupangiwa kazi
Hilo ni tatizo la maboss wanawake;
Mnapenda sana kuwakomalia watu;
Kila mtu anapoenda job anajuwa wajibu wake
na kazi zake anajua kuwa ni lazima azifanye na kwa wakati;
Lakini dooooh, mmezidi sana nyie mashosti,
Mie mwenyewe nina boss kama wewe, loooh,
Yaani natafuta hata wizara ingine nikastafie huko;
Nasema tu, ili uelewe kuwa NYIE MABOSS MADEM MMEZIDI SANA;.