ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
je,ulimkaripia?
Pengine kahisi kudharaulika
hilo ni tatizo la maboss wanawake;
mnapenda sana kuwakomalia watu;
kila mtu anapoenda job anajuwa wajibu wake
na kazi zake anajua kuwa ni lazima azifanye na kwa wakati;
lakini dooooh, mmezidi sana nyie mashosti,
mie mwenyewe nina boss kama wewe, loooh,
yaani natafuta hata wizara ingine nikastafie huko;
nasema tu, ili uelewe kuwa nyie maboss madem mmezidi sana;.
ungemwambia aache kuzunguka kama tairi ya gari
Hapa kuna maswali yanagonga kichwa yangu.
1. Ulimpangia kazi hakuimaliza?
2. Ni kawaida yako kumwambia afanye kazi? Au hufanyakazi bila kusimamiwa?
3. Lugha uliyotumia ilikuwa sahihi?
Kuna utata ktk hayo mambo matatu
hilo ni tatizo la maboss wanawake;
mnapenda sana kuwakomalia watu;
kila mtu anapoenda job anajuwa wajibu wake
na kazi zake anajua kuwa ni lazima azifanye na kwa wakati;
lakini dooooh, mmezidi sana nyie mashosti,
mie mwenyewe nina boss kama wewe, loooh,
yaani natafuta hata wizara ingine nikastafie huko;
nasema tu, ili uelewe kuwa nyie maboss madem mmezidi sana;.
Mbona unajisifia sana mimi mtu poa,mfanyakazi mzuri.wewe ni mnafiki huna lolote.mwambie mtu kibusara halafu unatishia watu kazi.Mamito sio wote wako hivyo na wala mm siko hivyo
nikiambiwa na wakubwa zangu wapangie kazi hao wenzako
huwaga nafanya hivyo tena kwa upendo na kutaniana
hapa na pale, lakini imenishangaza kwa hyu kwani
yeye wakati wa kazi yuko nje mara aseme naenda dukani
mara aseme nimepigiwa simu kuna mtu nje namcheki?
Mamito yaani visingizio kibao mpaka inafikia maudhi
bestito mm ni mtu muungwana sana kama ukiwa nami
muulize asprin, bujibuji, mentor na passionlady watakwambia
hivyo huwaga niko peace & love kwa wenzangu wote kwani
tunajua tunachokifanya hapa kwetu,
sijajua huyu mwenzetu kwani hata leo yenyewe ndo anaingia
sasa hivi job anacheza na kazi wakati wenzake wako nje
hawana kazi. Ipo siku atajifunza na kuthamini kazi.
BESTITO MM NI MTU MOJAWAPO MUUNGWANA SANA NA MTU WA PEACE & LOVE KWA WOTE HAPA JOB
MUULIZE muuza ubuyu ATAKWAMBIA
ILA SASA HUYU NI KAWAIDA YAKE UKIMPANGIA KAZI HAMALIZII KABISA NA WAKATI MWINGINE MPAKA UMSIMAMIE NDO ANAFANYA SASA TUTAFIKA KWELI HAPO BESTI?
MANA HATA NAMI NINA MAJUKUMU YANGU NATAKIWA NIFANYE NAANZA KUSIMAMIA WENGINE WAKATI NI WATU WAZIMA INABDI TUFANYE WAJIBU WETU
NILIONA JANA NIMSAMEHE BURE KABISA MAANA ITAKUWA SHIDA YEYE ANACHEZEA KAZI WAKATI WAKO WENGINE WANAILILIA HIYO KAZI WATAIPATA LINI?
mbona unajisifia sana mimi mtu poa,mfanyakazi mzuri.wewe ni mnafiki huna lolote.mwambie mtu kibusara halafu unatishia watu kazi.
pole sana ladyfurahia, hizo ndizo changamoto za kiuongozi! Chamsingi ni wewe kuhakikisha hivyo 'viatu' ulivyovivaa vimekuenea vizuri kabisa, havikubani wala kupwaya!