Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,395
- 2,174
Ngojea Wakati wa Kampeni ya Uchaguzi wa Wabunge atakuja kuzungumza na Waanchi ili wampe kura zao apate kushinda tena Miaka 5 ijayo.Na Akishinda tena hutomuona mpaka kipindi cha kampeni ya uchaguzi CCM OyeeeeeeeeWadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.
Pia Wakati wa ZIARA yako Unaombwa UANDAMANE na
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni
Mhandisi wa Manispaa
Meneja wa TANESCO Kigamboni.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
πΉπΉWadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.
Kusema ukweli wakazi wa KATA hii tunapitia Changamoto nyingi sana kubwa kuliko ni UBOVU wa BARABARA zetu.
Tuliamini kutembelewa wa Mbunge tungesaidia kuziona Barabara zetu za Kata jinsi zilivyoharibika pia kujua Matatizo ya
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Ndiyo mummified kura tenaMmmh wakazi WA vijibweni tunateseka Sana ikiwa n pamoja na barabara jamani ,kwani yupo wapi kweli
White Kuna muda Huwa koki inafunguka na ni tatizo la familia nasikia ahahhahaMakonda ndio angalau angefanya jambo la maana kigamboni, huyo jamaa simuelewagi kabisa.
Next time mumjaribu White.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Huyu ni MTEKAJI angetuteka abaki na Wake zetu nae HAFAIMakonda ndio angalau angefanya jambo la maana kigamboni, huyo jamaa simuelewagi kabisa.
Next time mumjaribu White.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
πππππποΈπHivi mtu mwenye akili unategemea mbunge atatue changamoto za barabara kwani anakusanya kodi? Anapewa bajeti ya kutengeneza barabara huku ni kutokuelewa majukumu ya mwakilishi na kiongozi.