Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,478
Msada tafadhari.
Hivi deadline ya TCU application ni tarehe ngapi?
Hivi deadline ya TCU application ni tarehe ngapi?
Mkuu nisaidie wewe uliyekua, si unajua sisi Jf hawaulizi umri so hata sisi watoto tunapata nafasi ya kujiunga.hivi mtakua lini?unajaza server za jf bure tu
mkuu asante at least wewe umenijibu manake naona mkuu hapo juu ameishia kukejeli tu badala ya kujibu5/8/2016 kama cjasahau