Nauliza swali tu niambieni

Nauliza swali tu niambieni

Kuongeza mke ni maamuzi ya mtu na uwezo wake usiogope hilo siyo wanaume wote watakaoongeza wake, badili dini uolewe na mwislamu
Sahihi kabisa, furaha ikija Leo ifurahie usiogope kitu usichokijua kitakuja au hakiji, Ukakosa furaha kwa usichokijua.
 
We umetupiwa mapepo sio bure na babako alipoteza bao lake bure kabisa kuzaa binti mwenye akili finyu kama wewe, kuacha ukristo kwenda uislam ni sawa na kuruka mkojo kukanyaga mavi
 
KESHATUPIWA PEPO HUYO AU MAJINI YA KIISLAM, ASIWASUMBUE HUYU KILAZA WA KIKE, WALOKOLE AU WAKRISTO HATUNA WATUNA WATU WA SAMPULI HII
 
Mimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,.

Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na kutariziwa nakshi nakshi nilisema nikishika ndoa yangu nakuwa na vaa hayo mahijab .

Halafu napendaga vitu vingi vya waislam shida huwa nakaa kwetu ukristoni ni hii yakuongeza wanawake inanikatisha tamaa ila ukweli ndio huo nawasilisha.

Sasa je kwanini nakuwa kwenye hali hiyo namie ni mlokole ??

Unatafuta ndoa, kama hujauelewa Ukristo hakuna shida
 
Tatizo lako ni uongo.....we si ulisema ulifunga ndoa na yule Kileo muislam?mara umegeuka mlokole mara unataka uislam hebu tuliza wenge mrembo
 
Back
Top Bottom