Nauliza swali tu niambieni

Nauliza swali tu niambieni

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,800
Reaction score
8,986
Mimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,.

Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na kutariziwa nakshi nakshi nilisema nikishika ndoa yangu nakuwa na vaa hayo mahijab .

Halafu napendaga vitu vingi vya waislam shida huwa nakaa kwetu ukristoni ni hii yakuongeza wanawake inanikatisha tamaa ila ukweli ndio huo nawasilisha.

Sasa je kwanini nakuwa kwenye hali hiyo namie ni mlokole ??
 
Hujui unachokitaka
 
KWA muislamu ni rahisi kuoa coz ana nafasi 4 hata akikosea ana nafasi ya kurekebisha makaosa take sasa wakristo nafasi ni moja unataka Nani akutamkie ndoa kirahisi rahisi
 
Ukikubaliana na ukweli utaishi maisha ya Raha sana, ngoja nikupe ukweli, uliwahi sikia humu jf wanaume wakisema hawawezi kuwa na Mwanamke Mmoja? Uislam unalojua Hilo hivyo baada ya kuwa na kimada/vimada ukaweka wazi kama ulivyoolewa wewe na mwingine Aolewe kama wewe, pia ikitokea shida baada ya kimada kujitenga hahusiki, kwenye uislam ni mke atashea matamu na machungu ya Mume, Kaa ukijua hata ukiolewa mke Moja nje Mme wako anakitembeza sababu wanaume wameumbwa kuwa na mke zaid ya Moja, na anayeoa mke zaid ya Mmoja wengi wao ni wale wasiotaka Uzinzi na kuzini sababu ni Dhambi, kama utaamua kuwa Muislam nakushauri Shika dini kweli ya uislam na chagua Mume wa kiislam aliyeshika Dini haswa, utamjuaje? Hivi ni viashiria tosha: 1 anaswali swala tano, 2 hatakuzini kwanza, na asidai Hilo, akidai Hilo hakufai, 3 ni mkweli, 4 majukumu yote ya familia ni yake, 5 Staili yake ya mavazi ni ya Kiislaamu yaan ukimuona tu unajua ni Muislam (yaan Muislam kweli sio jina). Na mengineyo japo kiuhalisia kwa Wanawake wengi wa kisasa hawataki hivyo. Na hapo utainjoy sana ukijua, tuko wawili au watu au wanne, na mnajuana kuliko uwe Mmoja na Kumi usiowajua, Kaa utafakar utapata jibu, Nakushauri kuwa Muislam Kisha chagua Mume mwislamu kweli, ukichagua mwislamu jina za uso kama kawaida na utauchukia uislam kwa ajili yake kumbe umechagua kimakosa.
 
Kiukweli mim nimekuelewa tuu, tena sana tuu.. ushauri wangu Kaa chini jitafakari kwa kina wew ni nani hapa duniani na unafikir wajibu wako ni nin? Hicho kilichopo kwenye mawazo yako ni ubongo ndio unajitengenezea..

Dunia inaendeshwa na vibration, vile vitu ambavyo huwa unaviwaza sana na kuvifikiria ndivyo huwa Dunia inakupatia kila wakati!! Hapo mpenz wako either wa Kwanza au watu ulio nao karibu Kama marafiki na washkaji zako wengi huwa ni Waislamu na watu wanaopenda dini hio.

Pia uwepo wa msikiti karibu yako ndio jambo lingine linalokushawishi zaidi maan kila siku ndo mazingira yanayokuzunguka!

Ukitaka mtu wa Ndoa ni Muhimu ukizingatia character ya mtu Jinsi anavyoishi Wala si kuangalia dini yake... Si wote unaowaona wanadini kwamba atakupenda na wewe! Angalia mtu kwa mchunguza, uliza marafiki zake majirani zake, na upate full detail ya mtu.

Unapohitaji mtu wa kukuoa ondoa neno Mapenzi, weka neno vigezo vya kitabia.. usiolewe kwasababu umependa, olewa kwasababu anavigezo vinavyostahili wew kuishi nae.

A) Je! Anatabia gani ambazo we huzijui?
B) Je! Kwao wanao oa wanaishi na wake zao
C) Je! Tabia za kabila lao ni zipi?
D) Je! Ana ndugu au jamaa anaehusishwa na ujambaz au kuwekwa gerezani kwa makosa kadhaa
E) Je! Ni magonjwa gani ya kurithi wanayo Kama familia
F) Je! Akikasirika anawezaje kukontroll anger yake? Anakuaje kiujumla
G) Je! Anapenda kuwa na Familia, au anahitaji kuwa na sehemu ya starehe tu
I) Je! Kakupenda au kakutamani?
 
Yote umeongea kweli lkn jua chunguza sana si Kila kitu utakijua, na Kuna mengine yapo ndani ya nafasi hata ukichunguza hupati chochote, hapo ndo huwa tunamshirikisha Allah ambaye anajua tuliyouaficha mioyoni mwetu, kama vile usivyojua ukipanda gar Hilo litapat ajali Allah anajua, hapo tunamuomba na kumshirikisha Katika Yale tusioyajua, mwanadamu hakuna anachojua Bali hujitahd kwa upeo na Elimu yake kukwepa majanga lakn Allah anajua Zaid.
 
Ni kweli ni Muhimu kushiriki na MUNGU kwenye kutafuta kwako! Lakin Usikae tu bila kuchunguza ukitegemea MUNGU akuchunguzie halafu akuletee majibu!! Haitakaa itokee, ukichukua hatua utajua meengi san
 
Back
Top Bottom