Nauliza Nimfanyeje huyu mwanamke ili aweze kanirudishia pesa zangu?

Ila kwa hapo kitu chochote kilicho ndani ya nyumba yake ambacho umiliki wake hauwezi kuwa na maswali ni mali yake halali isipokuwa tu vile ulivyomkabidhi.

Hivyo uache kumtafutia matatizo maana unataka umtapeli hela zake hizo 425,0000 ambazo huwa anazihifadhi muda mrefu tu hapo mlangoni.
Ni zake hizo.
Pesa zake kivip wkt nmeziweka mwnyw mlangoni?
 
Kuona vile kichwa kikapata Moto,
breki ya kwanza kwenye vent kuangalia Kama pesa zangu zipo, nikakuta hazipo, nmetafuta Sana pesa zangu sizioni. Ghafla naendelea kutafuta nae mamaJ anaingia kashikilia nyama,mche wa sabuni pamoja na sabuni ya unga.

Akanishangaa, nikamwambia natafta pesa zangu niliziacha juu ya vent ya mlango pamoja na funguo za dukani. Akasema funguo ziko Kwny dressing table ila khs pesa yeye hajui Chochote na hajaziona.

Nikamuuliza "ujaziona kivipi wkt Jana tulikua wawili TU humu ndani na Wewe ndo umetoa mapazia na kufanya usafi juu ya hizi vent, Unanambiaje ujaziona Ela zangu" akakataa kata kata hajaziona.

Sasa kwa jins anavozid kukana kwa Nguvu ikawa Kama anazd nipandisha hasira, nikaona nichukue funguo niondoke zangu dukani, maana nisije jikuta nmepasua mtu vibao.

Hapa nmekaa dukani ila akili yangu haiko sawa kabisa, Najiuliza uyu mwanamke kaamua kunitapeli pesa zangu au Ni kwamba anajizima data.

Hapa nawaza sijui nimfanyeje hata sipati jibu sahii

Naombeni ushauri wenu wakuu,
Mnamuelewaje uyu mwanamke, Maana kama sio dhulma Basi huu kiuhalisia Ni wizi kabisa.

NIMFANYEJE HUYU ILI AWEZE KUNIRUDISHIA PESA ZANGU.

Nawasilisha
Kwanini hizo pesa usingekuwa unazi acha ndani ya gari? Pengine hata house girl amezichukua
 
Wakuu,
Tangu xmass sijafungua kabisa Duka langu, niliamua kujipa mapumziko ya hiari mpaka sikukuu zote za xmass na mwaka mpya zipite ndo ntaendelea na biashara.

Siku ya Jana tulikua na miadi ya mtoko mida ya jioni na mpenz wangu maana xmass na boxing day zote hatukutoka tulikua kwny ugomvi mkubwa Sana.

Sasa kwasababu balance yangu ilkua ndogo na ATM kadi iko dukani, ikanibidi niende dukani kufata cash ili tukatoke out na mpenz wangu tukafurahi.

Nikiwa njian naelekea dukani Kuna mteja kanipigia anaulizia mzigo flani, nikamjibu upo. Akasema anamtuma kijana aje kuchukua, nikamwambia Kuna mahali naenda,sitoweza kumsubir uyo kijana wake Hadi afike, Kama inawezekana anielekeze alipo nimpitishie Moja kwa Moja niende zangu,. Kweli kanielekeza, na nmepaelewa.
Inaonekana wewe ni mchoyo Sana ndio maana kaamua kujipimia mwenyewe.
 
Cha kuokota si cha kuiba, mwenye mali ndio mjinga.

We piga tu miti huyo mama J ili ku-offset hiyo loss

Kihasibu tunaita irrecoverable debt/bad debt (Deni ambalo huwezi kulipwa) huwa linapunguza net profit kwenye income statement na linapunguza receivables pale kwenye current assets kwenye statement of financial position.

Write off.
 
Madeni ya namna hii yanapatikana saana kwa wanawake, anakwambia nikopeshe, ukimposha imekula kwako, ni aidha utombe au usamehe deni tu.
 
Kule chumbani tumefanya ya kufanya, tulipochoka wote tukapitiwa kijiusingizi flani Cha uchovu mzito. Nmekuja kuzinduka usngzin,naangalia saa Ni saa 7:15 usiku, nmeoga chap chap nmevaa na mbio mbio nmeondoka zangu pale kuelekea kwangu.

Njiani nikakumbuka kwamba kule mamaJ nmesahau zile pesa zangu juu ya vent ya mlango, Basi nikajipa moyo hawezi kuziona ntaenda kuzichukua ata kesho yake jioni.

Asbh Kulipokucha natakiwa kwenda zangu dukani, nikakumbuka funguo za dukani nazo kumbe nizilisahau kwa mamaJ, hivyo ikanilazimu asbh hiyo hiyo breki ya kwanza niende kwa mamaJ.

Nmefika kwa mamaJ,namkuta ndani hayupo, ila mapazia yote madirishani na milangoni yametolewa na kulundikwa pamoja na nguo chafu kwenye beseni nje kibarazani.
Daaadeki🤣
 
Kuona vile kichwa kikapata Moto,
breki ya kwanza kwenye vent kuangalia Kama pesa zangu zipo, nikakuta hazipo, nmetafuta Sana pesa zangu sizioni. Ghafla naendelea kutafuta nae mamaJ anaingia kashikilia nyama,mche wa sabuni pamoja na sabuni ya unga.

Akanishangaa, nikamwambia natafta pesa zangu niliziacha juu ya vent ya mlango pamoja na funguo za dukani. Akasema funguo ziko Kwny dressing table ila khs pesa yeye hajui Chochote na hajaziona.

Nikamuuliza "ujaziona kivipi wkt Jana tulikua wawili TU humu ndani na Wewe ndo umetoa mapazia na kufanya usafi juu ya hizi vent, Unanambiaje ujaziona Ela zangu" akakataa kata kata hajaziona.

Sasa kwa jins anavozid kukana kwa Nguvu ikawa Kama anazd nipandisha hasira, nikaona nichukue funguo niondoke zangu dukani, maana nisije jikuta nmepasua mtu vibao.

Hapa nmekaa dukani ila akili yangu haiko sawa kabisa, Najiuliza uyu mwanamke kaamua kunitapeli pesa zangu au Ni kwamba anajizima data.

Hapa nawaza sijui nimfanyeje hata sipati jibu sahii

Naombeni ushauri wenu wakuu,
Mnamuelewaje uyu mwanamke, Maana kama sio dhulma Basi huu kiuhalisia Ni wizi kabisa.

NIMFANYEJE HUYU ILI AWEZE KUNIRUDISHIA PESA ZANGU.

Nawasilisha
Usikubali hasara hivi hivi. Miweke sawa mtoke we mwenyewe utajua utafanyaje. Ingia ndani tafuta unachoona ukiuza utapata hata kidogo. Godolo usiache. TV usiache, kuipenda na sufuria zote beba.
Si ile pesa atanunulia vingine? Au walipe vijana wakupe mrejesho. Simpo
 
Kuona vile kichwa kikapata Moto,
breki ya kwanza kwenye vent kuangalia Kama pesa zangu zipo, nikakuta hazipo, nmetafuta Sana pesa zangu sizioni. Ghafla naendelea kutafuta nae mamaJ anaingia kashikilia nyama,mche wa sabuni pamoja na sabuni ya unga.

Akanishangaa, nikamwambia natafta pesa zangu niliziacha juu ya vent ya mlango pamoja na funguo za dukani. Akasema funguo ziko Kwny dressing table ila khs pesa yeye hajui Chochote na hajaziona.

Nikamuuliza "ujaziona kivipi wkt Jana tulikua wawili TU humu ndani na Wewe ndo umetoa mapazia na kufanya usafi juu ya hizi vent, Unanambiaje ujaziona Ela zangu" akakataa kata kata hajaziona.

Sasa kwa jins anavozid kukana kwa Nguvu ikawa Kama anazd nipandisha hasira, nikaona nichukue funguo niondoke zangu dukani, maana nisije jikuta nmepasua mtu vibao.

Hapa nmekaa dukani ila akili yangu haiko sawa kabisa, Najiuliza uyu mwanamke kaamua kunitapeli pesa zangu au Ni kwamba anajizima data.

Hapa nawaza sijui nimfanyeje hata sipati jibu sahii

Naombeni ushauri wenu wakuu,
Mnamuelewaje uyu mwanamke, Maana kama sio dhulma Basi huu kiuhalisia Ni wizi kabisa.

NIMFANYEJE HUYU ILI AWEZE KUNIRUDISHIA PESA ZANGU.

Nawasilisha
Mkeo anatumia simu Gani kama thamani yake inazidi laki nne uza hio simu yake kinguvu urudishe hata nusu hasara. Kesho utamuona ana simu nyingine😃😃😃 inakua kama ulimchangia kununua simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom