Nauliza mbona website ya stjosephtanzania.com haifunguki?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
923
habarini za kazii wadu!
Nimeamuwa kuwashilikisha hili ili tusaidiane,natumaini wausika wa stjoseph mtatupa majibu au kutuelekeze jinsi ya kufungua.kwani kwa sas tumekua na tusomesha wadogozetu wakati mwingi tunatamani kuwatafutia vyuo kulingana na hob au ndoto walizo nazo

sikumoja nilipata kutembelea maonyesho ya contractors pale mlimani city,nikafanikiwa kukutana na wanafunzi wa chuo hicho ambao walikua wakifanya maonyesho yao ya techologia mbalimbali ikiwemo mawasiliano hapo ndipo nilipata kipeperush chamchuo hicho ambapo kilikua na web hiyo na namba za sim.nimefaiti kupata information za chuo hicho kama mdau,nimepiga simu sijafulaishwa na customer care yao.
Nafikili nitapa ufafanuzi na maelekezo zaidi na hasa kotoka kwa wahusika au hata kwa wanafunzi wa stjoseph tanzania ambao wapo humu jamvini
nawasilisha
 
Back
Top Bottom