tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,432
- 4,783
Naona ni haki yao na kama kujitoa wangepiga kura labda kama Scotland ingawa walipenda kujitoa lakini kura zikapigwa mwishowe wakapewa wengi.Ni haki hata wazanzibar kujitoa, kwa wale wanaojielewa.
Ila kumbuka kuwa kule kuna madem wenye mambo fulani hivi amazing!!Hilo la kujitoa kwa uingereza sijajua ila kwa SMZ naomba wajitoe tu maana hawana faida yoyote, umeme unatoka bara,chakula kinatoka bara, ajira asilimia kubwa wanaajiliwa huku bara wanabana naasi za wanetu, mishahara inatoka bara, bajeti yao inatoka bara. Wajitoe tu maana tumewachoka
Duh! Tunashukuru kwa mchango wako.Ila kumbuka kuwa kule kuna madem wenye mambo fulani hivi amazing!!
Limeingiaje hilo la ZnzbNi haki hata wazanzibar kujitoa, kwa wale wanaojielewa.
halafu jamaa nimemshangaa sana!! Wakijitoa kuna hasara zake hiyo point yako hapo juu inatakiwa iingizwe kwenye anserd!Ila kumbuka kuwa kule kuna madem wenye mambo fulani hivi amazing!!
Mwongozo wa spika!! Ni anserd au Hansard ya bunge?halafu jamaa nimemshangaa sana!! Wakijitoa kuna hasara zake hiyo point yako hapo juu inatakiwa iingizwe kwenye anserd!
thamani ya fedha yetu kuwa ndogo inatupa advantage kwa baadhi ya bussiness
hata utalii pia...
Wabobezi wa masuala ya kimataifa, najiuliza kwanini Uingereza anawatishia wenzake (kwa kweli yupo serious sana) kwamba atajitoa EU? Na kwanini members wengine wa EU wanaendelea kuwabembeleza?
Ni vizuri ukioanisha majibu yako na JMT na SMZ, ingawa kuna utofauti wa kimuundo.
Well said mkuu[emoji41] [emoji41] ,haya alishayaongeleaga jk kipindi kile cha coewl,hata ardhi kwao adimu,hatuwezi kuingia mkenge,wanajua hilo,ndio kama ilivyo UK.Vurugu imeanza na single currency ya euro
hiyo sarafu inaweza kupoteza thamani hata kwa sababu za uchumi wa nchi kama
Ugiriki au Spain na kadhalika
kwa ufupi nchi yoyote mwanachama anaweza leta vurugu ya kiuchumi
hasa kwa hiyo sarafu
Na waingereza wanajivunia sana sarafu yao ndo maana walikataa kujiunga na euro
baada ya hapo mambo mengi yanajitokeza yanapelekea kuona ni bora wajitoe
Laiti EU ingekuwa zile nchi chache imara kiuchumi Uingereza asingejitoa
lakini ukichanganya na nchi gonjwa kama Ugiriki na zingine shida inaanzia hapo
Sisi tunapaswa mno kujifunza na kukataa kabisa EAC single currency ambayo Kenya
wanataka kuitumia kutuingiza mkenge
Sababu bank kuu ya EAC itakuwa controled na Wakenya na kama niko right head office itakua Nairobi...
hapo ndo tutakapo umizwa
thamani ya fedha yetu kuwa ndogo inatupa advantage kwa baadhi ya bussiness
hata utalii pia...single currency itatuumiza sana
na hatusikiii.......Rala akimshawishi Magufuli we are done