Wadau kama kuna mwenye uzoefu, kuna mbishano , eti gari hiyo ukiwasha tu, ili system ikae poa, mafuta Lita 10 yanaenda, kabla hujaanza kutembea? Mwenye knowledge plz
Hapana,,hiyo siyo kweli,,,mafuta huanza kutumika pale unapoanza kukanyaga accelerator,,,una swali jingine?
Kuwasha tu Lita 10 hiyo sio gari ni AIRBUS
Wadau kama kuna mwenye uzoefu, kuna mbishano , eti gari hiyo ukiwasha tu, ili system ikae poa, mafuta Lita 10 yanaenda, kabla hujaanza kutembea? Mwenye knowledge plz
hii gari haitumii mafuta....
Ya Leo Kaliii...Ya Leo Kalii...(Wachuja Nafaka)Wadau kama kuna mwenye uzoefu, kuna mbishano , eti gari hiyo ukiwasha tu, ili system ikae poa, mafuta Lita 10 yanaenda, kabla hujaanza kutembea? Mwenye knowledge plz
Unamaanisha ukiwasha gari uiache silence usikanyage accelerator mafuta hayatumiki? Ingekuwa hivyo foleni za mijini zisingekuwa na madhara yoyote kwa uchumi wa madereva.Hapana,,hiyo siyo kweli,,,mafuta huanza kutumika pale unapoanza kukanyaga accelerator,,,una swali jingine?